Simu zenye nembo ya Twitter zageuka kuwa ‘Dili’

Simu zenye nembo ya Twitter zageuka kuwa ‘Dili’

Ikiwa zimepita siku chache baada ya mtandao wa Twitter kufanyiwa mabadiliko kwenye upande wa Logo yake kutokana na mmliki mpya wa mtandao huo Elon Musk kutaka kuanza upya kwa kufanya mabadiliko ambapo hivi sasa mtandao huo badala jina la Twitter sasa hivi unaitwa X.

Sasa ‘dili’ limeamia kwenye Logo ya zamani ya mtandao huo, baadhi ya watu wameingiza sokoni simu zao za iPhone zenye logo ya zamani ya mtandao huo kwa dola elfu 7 ambazo ni zaidi ya Tsh 17 Milioni kwenye soko la mtandani linalojihusisha na  kuuza na kununua bidhaa  eBay.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags