Zuchu ampongeza S2kizzy

Zuchu ampongeza S2kizzy

Mwanamuziki @officialzuchu atoa pongezi kwa mzalishaji wa muziki anayefanya vizuri nchini @s2kizzy kwa kazi kubwa anayofanya .

Zuchu amesema kuwa ni vyema ampatie producer huyo maua yake mapema kwani anafanya kazi kubwa, na anaumuhimu kwenye tasnia ya muziki.

Pongezi hizi kazitoa mara baada ya ngoma yake mpya #Honey kuwa inafanya vizuri kila kona

#S2kizzy amekuwa akizalisha ngoma nyingi ambazo zikifika kwa mashabiki  zinafanya vizuri, kati ya ngoma hizo ni #Honey ya kwake #Zuchu, #Enjoy, Jux ft Diamond, Shu ya Diamond na nyingine nyingi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags