Roma: Maisha yana siri simama na Mungu

Roma: Maisha yana siri simama na Mungu

“Unaweza ukapambana Kutafuta pesa Kwa miaka mingi ukamwaga jasho machozi na damu….Ukabahatika Kupata Hata 100M, ukasema Sasa Nianze kujijenga kimaisha, hapo hapo Mungu anakupa mtihani unapata gonjwa Kubwa Na sugu, Kumbe yale Mapambano Yako yalikuketea maradhi mwisho wa siku 100M Yoooteee Inaisha kwa kujiuguza…..na siku Unamaliza Senti Ya Mwisho Kweye Matibabu.
Ndio Wiki Hiyo Hiyo una kick The Famous Bucket  au Gonjwa Sugu Hilo Analitupa Kwa  Mzazi Wako Au Mwanao Au Mke/Mume!!

Maisha Yana Siri Nyingi Sana‼️

 SIMAMA NA MUNGU KWENYE UPAMBANAJI WAKO SIKU ZOTE!!” @roma_zimbabwe 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags