Mane uso kwa uso na Ronaldo

Mane uso kwa uso na Ronaldo

Baada ya kuzuka tetesi za muda mrefu kuhusiana na mshambuliaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Senegal Sadio Mane, hatimaye usiku wa kuamikia leo ametambulishwa rasmi  na ‘klabu’ ya Al Nassr  kutoka nchini Saudi Arabia.

Mane ambaye alikuwa mchezaji wa Bayern Munich kutoka nchini Ujerumani ame-sign mkataba wa miaka mitatu na ‘klabu’ hiyo ya matajiri wa kiarabu.

Sadio anaenda kucheza ‘timu’ moja na Cristiano Ronaldo, na inasemekana kuwa Mane atakuwa akilipwa mshahara wa paund 650,000 ambapo ni sawa na Tsh 2 bilioni kwa wiki mbili.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags