Manara azimika na ufanyaji mazoezi wa Kajala

Manara azimika na ufanyaji mazoezi wa Kajala

Aliyewahi kuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga #HajiManara amemmwagia sifa ‘staa’ wa #BongoMovie Kajala kwa jitihada za kufanya mazoezi na kujali afya yake tofauti na baadhi ya wanawake wanaokimbilia kufanya Surgery.

Kupitia ukurasa wake wa instagramu Manara ame-post video ya muigizaji huyo na kuandika,

“Achana na kila kitu kuhusu @kajalafrida ila kwenye hili nakupenda bure my sister,upo very serious na mazoezi, unajijali mno afya yako.

Nimelipia wanawake wengi Gym lakini wengi kama sio wote wameishia njiani, wanaenda kujisnap siku mbili tatu, kisha wanayeya.

My Sister unautengeneza mwili na afya yako kwa pain ya kutosha na hautani love, una rika sahihi na jinsi ulivyo, hauna kisu hata kimoja cha kutengeneza hips wala makalio.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags