Wakazi ammwagia sifa Harmonize

Wakazi ammwagia sifa Harmonize

Kama ilivyo kawaida ya msanii wa #HipHop #Wakazi kutofumbia macho japo likimfurahisha au likimkwaza, awamu hii aibuka kwa kummwagia sifa Harmonize kutokana na kufurahishwa na kazi alizoachia siku ya jana.

Wakazi amedai kuwa nyimbo zote ambazo zimeachiwa jana na Harmonize, ni nzuri zenye ubora hivyo basi hajapunja kwenye ubora na uandishi, huku akidai kuwa katika kipindi hichi cha ki-digital kinataka sana ubora.

Hivyo basi kwa ubora huo wa kazi za Konde Boy anaona unamkaribia Nikki Mbishi, Wakazi akamalizia kwa kusema  kuwa anatamani kuwaona wawili hao wakifanya kazi pamoja.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags