Zuchu: Honey wako kaku-wish

Zuchu: Honey wako kaku-wish

Ikiwa leo ni siku ya girlfriends duniani mwanamuziki anaetamba na kibao cha #Honey @officialzuchu ame-share picha zake mpya na ujumbe wa kuwatakia mashabiki wake heri ya siku ya girlfriend. Zuchu ameandika

“Happy nation girlfriend’s day to all my honeeyyssss, honey wako kakuwish au unampenta ila yeye anakuteysaa”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags