10
Ashikiliwa kwa tuhuma za kumbaka mwanaye
Mtu mmoja aliefahamika kwa jina la Mussa Pwele mkazi wa mkoa wa Mbeya mwenye umri wa miaka 47 anadaiwa kummbaka mtoto wake wa mzaa. Imeelezwa kuwa alifanya tukio hilo kwa kump...
10
Trump akutwa na hatia ya unyanyasaji wa kingono
Jopo la majaji katika kesi ya madai likuta Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump na hatia ya kumnyanyasa kingono mwandishi wa jarida katika duka moja kuu la New York miaka y...
09
Aliyekuwa waziri mkuu Burundi kizimbani kwa madai ya kumtukana rais
Alain Bunyoni aliyefutwa kazi baada ya kudaiwa kuwa na mipango ya kufanya mapinduzi dhidi ya Serikali ya Rais wa Burundi Evariste ...
09
Ruksa kusokota rasta shuleni
Mahakama kuu nchini Malawi imeamuru mamlaka ya elimu kuwapokea wanafunzi waliosokota rasta katika shule za umma kote nchini. Mahakama hiyo, iliyoko mashariki mwa jiji la Zomba...
09
Amshtaki baba yake kwa kumlazimisha kuolewa na mwanaume asiyemjua
Binti mmoja aliefahamika kwa jina la Fatima Aliyu mwenye umri wa miaka 20 kutoka Kaskazini mwa Nigeria amemshtaki baba yake kwa kumlazimisha kuolewa na mtu asiyemfahamu, ripot...
09
Biden aagiza mashirika ya ndege kuanza kulipa fidia
Rais wa Marekani, Joe Biden, ameagiza wizara ya uchukuzi kuandika kanuni mpya zitakazo yalazimu mashirika yote ya ndege kugharamia chakula na malazi ikiwa kwa uchelewaji au ug...
09
Kanisa la KKKT lahukumiwa kulipa fidia
Kufatiwa na uamuzi uliotolewa na Mahakama ya hakimu mkazi Njombe dhidi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini kulipa fidia ya shingi milioni70 b...
09
Wahukumiwa kunyongwa kwa kukashifu dini.
Mahakama kutoka nchini Iran ilitangaza hukumu ya kunyongwa dhidi ya wanaume wawili  siku ya Jumatatu ambao walihukumiwa kifo kwa kuukashifu uislamu, watuhumiwa hao walita...
09
Rapa Young Lo auwawa kwa kupigwa risasi
Rapa kutoka nchini Marekani Lowell Grissom maarufu kama Young Lo amepigwa  risasi na kuuawa nje ya Club huko Miami. Kulingana na CBS news, rapa huyo alipigwa risasi alipo...
08
Zuckerberg ashinda medali mchezo wa karate
Mwanzilishi wa Facebook na ofisa mtendaji mkuu wa Meta, Mark Zuckerberg amewashangaza mashabiki na wapenzi wa mchezo wa karate baada ya kushinda medali za dhahabu na fedha kat...
08
Bar zaidi ya 80 zafungwa, Tanzania
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezifungia Bar za wazi zaidi ya 80 ikiwemo Elements, Wavuvi Camp, Boardroom, Kitambaa Cheupe, Liquid, Warehouse n...
08
Polisi ahukumiwa maisha kwa kumuua mwanaharakati
Polisi kutoka nchini Iraq amekutwa na hatia na kuhukumiwa kifungo cha maisha kutokana na kifo cha mchambuzi mashuhuri wa masuala ya usalama na mkosoaji wa mara kwa mara wa wan...
08
Saudi Arabia yatarajia kusitisha mapigano
Saudi Arabia inasema inatarajia mazungumzo yaliyoanza mjini Jeddah siku ya Jumamosi kati ya makundi ya kijeshi ya Sudan yanayozozana yatafikia usitishaji wa kudumu wa mapigano...
08
27 wafariki katika mgodi wa dhahabu, Peru
Watu 27 wamefariki katika ajali ya mgodi wa dhahabu nchini Peru, katika ajali mbaya zaidi kuwahi kutokea katika miongo kadhaa iliyopita. Kampuni ya mgodi ya Yanaquihua, ilisem...

Latest Post