Mashabiki wakimbilia tiketi kuwaaga Sauti Soul

Mashabiki wakimbilia tiketi kuwaaga Sauti Soul

‘Tiketi’ za tamasha la SOL Fest ambalo linatarajiwa kufanyika November 4, Uhuru Gardens nchini Kenya zimeisha.

Tamasha hilo ambalo maalumu na litakuwa la mwisho kufanywa na kundi la Sauti Soul kutoka kenya inaelezwa kuwa tiketi zake zimemalizika muda mchache baada ya kutangazwa kwa kiingilio cha tamasha hilo.

Tiketi moja ya Tamasha hilo ilikuwa ikiuzwa kwa Ksh 2,500 ambayo ni zaidi ya Tsh 40000.
Tamasha hili la Die hard fans, linafanyika baada ya kundi hilo kusimama kwa muda usiojulikana kama ambavyo walitangaza miezi kadhaa iliyopita.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags