Mkeka wa Drake umechanika

Mkeka wa Drake umechanika

Baada ya Drake kubeti dhidi ya bondia Nate Diaz, hatimaye bondia huyo amepoteza pambano lake na Jake Paul kwa point,  Drake amepoteza zaidi ya milioni 624.

Drake aliamini kuwa Nate atashinda katika pambano hilo ndiyo maana akampa 'tiki' kwenye mkeka wake ambao kwa sasa umechanika

Mkeka wa rapper huyo kama 'ungetiki' alikuwa ana uhakika wa kukunja kibindoni kitita cha dola milioni 1, ambazo ni sawa na Tsh 2.5 bilioni.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags