Man city yamshikila Kyle Walker

Man city yamshikila Kyle Walker

Manchester City wamuwekea 'ofa' nono mezani 'beki' wao Kyle Walker ili 'asaini' mkataba mpya wa kuendelea kusalia kwenye viunga hivyo ikiwa ni baada ya kusambaa kwa tetesi kwamba Bayern Munich inafikiria kumsajili.

 Man City imempa ofa hiyo Walker ikiwa ni siku kadhaa , tangu 'beki' huyu wa kimataifa wa England afanye mazungumzo na 'kocha' wake Pep Guardiola ambaye alifanikiwa kumshawishi abaki kwenye kikosi hicho cha matajiri wa Jiji la Manchester.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags