Je wajua asilimia 90 wanaume wana kovu kidoleni

Je wajua asilimia 90 wanaume wana kovu kidoleni

Wakati mwingine kuna vitu vipo katika miili yetu lakini hatufahamu kama tunavyo, pia vipo vile ambavyo watu huvitumia kama alama kwenye miili yao, mara nyingi unakuta mzazi akisema kuwa mwanaye ana alama sehemu fulani ya mwili wake.

Inadaiwa kuwa asilimia 90% ya wanaume wana alama ya kovu katika kidole kinachofata baada ya kidole gumba cha mkono wa kushoto.

Kwa upande wa wanawake wapo wachache wenye alama hiyo ya kovu, na kama huamini hilo chunguza vizuri kidole chako na utagundua kuwa unayo alama hiyo.

Jambo hilo limekuwa likuwafanya wengi kujiuliza kwani hawafahamu kovu hilo hutokea wapi kwa sababu walio wengi hukuwa na kujikuta nalo.
Tuambie kwenye comment unadhani kovu hilo linatokana na nini?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags