Safari za magari yaendayo kasi maarufu kama (Mwendokasi) kutoka Gerezani hadi Mbagala zinaanza rasmi leo kuelekea msimu wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 (Sabasaba) a...
Ebwana!! Kila uchwao mambo yanazidi kuwa mengi muda nao ni mchache haya sasa wakati mtoto wako wa miaka 14 anajiandaa kwenda Shule basi kuna mvulana wa miaka hiyo nchini Marek...
Shindano kubwa la urembo nchini, la Miss Tanzania limeanza rasmi kwa Warembo 20 wanaowakilisha maeneo mbalimbali kuingia kambini siku ya jana. Maisha halisi ya Warembo hao ka...
Muigizaji kutoka katika filamu iliotamba duniani ya ‘Black Panther’, Chadwick Boseman anatarajia kupokea nyota (tuzo) ya heshima baada ya kifo kwenye Hollywood Wal...
Rais wa zamani nchini Zambia Edgar Lungu, amelaani hatua ya serikali ya nchi hiyo, kuchukua mali mbalimbali zinazohusishwa na familia yake, na kusema kuwa kitendo hicho kimech...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema mtu mmoja amefariki dunia baada ya kuangukiwa na jiwe akiwa katika shughuli za uchimbaji mawe.
Kwa mujibu...
Ebanaee!! Mambo ni mengi muda mchache wanetu basi bwana tasnia ya muziki huu wa kizazi kipya (Bongo fleva) kumekuwa na mtindo ili msanii atoke au afanikiwe basi afanye jambo k...
Wakenya watatu washtakiwa kwa jaribio la kusafirisha chungu (sisiminzi) wenye thamani ya shilingi 300,000 za Kenya bila kibali kutoka shirika la Wanyama Pori nchini humo.
Wast...
Rapa kutoka nchini Marekani Cardi B amekanusha madai ya kumcheat mume wake Offset, hii ni baada ya mpenzi wake huyo kupost insta story akidai kusalitiwa na mkewe.
Kupitia...
Mfanyabiashara kutoka Tanzania na Afrika Mashariki kiujumla Rostam Azizi, ametangaza uwekezaji mkubwa katika gesi ya Liquefied Petroleum Gas (LPG) nchini Zambia, ambao utakuwa...
Mkimbiaji mahiri wa mbio ndefu nchini Tanzania, Gabriel Geay aliibuka mshindi katika mbio za 10K, 2023 za Chama cha Wanaume cha Boston (B.A.A.) jana Jumapili, akimaliza kozi k...
Mahakama ya wilaya ya Kilwa mkoani Lind imewatia hatiani Maafisa Forodha wa TRA, Sultan Ali Nasor na Silver Maximillian kwa makosa ya matumizi mabaya ya madaraka na kutofanya ...
Mwanamke mmoja nchini Kenya aliye fahamika kwa jina la Margaret Wamaitha atengwa na jamii baada kuwapoteza watoto wake sita na kubeba ujauzito mara saba bila kupata mtoto kati...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy usiku wa kuamkia leo Juni 26 ameshinda tuzo ya BET Best International Act 2023 ikiwa ni mara yake ya nne. Tuzo hiyo ambayo ni ya n...