Rasco: Mashabiki wanapenda wasanii wagombane, sijam-diss Moni Centrozone,

Rasco: Mashabiki wanapenda wasanii wagombane, sijam-diss Moni Centrozone,

Mwanamfalme Rasco Sembo, akizungumzia kuhusiana na suala la wasanii wa Hiphop kufanya diss kwenye mistari yao, huku nakidai kuwa baadhi ya mashabiki wanapenda kuona wasanii wakigombana.

Hata hivyo Rasco katika interview yake na @mwananchiscoop ameweka wazi kuwa hakum-diss Moni Centrozone kama wengi wanavyosema
Mwanamuziki wa #HipHop Rasco Sembo kwenye #Interview aliyofanya na @mwananchiscoop, mejibu maswali ya watu wengi kuhusiana na ‘Ndege’ iliyoonekana kwenye video ya wimbo wa #MwanaMfalme, ambayo wengi walidai ndege hiyo si yakweli.

Rasco amedai kama kuwa kufanya kwake video kwenye ndege kumeleta maneno mengi, basi video ijayo atafanyia ndani ya Meli.
Mkali huyo wa Hip-hop ameweka wazi kuwa kwenye wimbo wake wa Mwanamfalme hakumdiss Moni Centozoze , bali mashabiki wanapenda tu kuona wasanii wakigombana






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags