Miaka 10 jela, agoma kuomba msamaha

Miaka 10 jela, agoma kuomba msamaha

Rapa Tory Lanez baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 10 jela, kwa kosa la kumpiga risasi Megan Thee Stallion, kabla hajaenda jela ameacha ujumbe kupitia ukurasa wake wa Instagram ukieleza kuwa hatoomba masamaha kwa sababu hana hatia.

Tory amedai kuwa hawezi kuomba msamaha kwani alishitakiwa kimakosa, na ataendelea kubaki katika msimamo wake wa kutoomba msamaha katika suala ambalo yeye hausiki.

#MwananchiScoop






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags