Mambo yameiva kwa Kane

Mambo yameiva kwa Kane

Deal done kwa mchezaji Herry Kane kusalia katika ‘klabu’ ya Tottenham baada ya Bayern Munich kufikia makubaliano na Tottenham kumsajili mshambuliaji huyo wa England.

Licha ya ‘ofa’ tatu za kumnunua mchezaji huyo kupigwa chini, hatimae Tottenham kumuongezea dau kwa ada inayokadiliwa kuzidi Euro milioni 100.

Ikumbukwe Kane ndiye mfungaji bora wa muda wote wa Tottenham akiwa na mabao 280 katika mechi 435.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags