Asafiri siku 8 kwa baiskeli kumuona Davido, aambiwa arudi alikotoka

Asafiri siku 8 kwa baiskeli kumuona Davido, aambiwa arudi alikotoka

Shabiki kindaki ndaki wa msanii kutoka nchini Nigeria Davido, Emmiwuks Embarked ametumia siku 8 kusafiri kutoka Benue mpaka Lagos kwa kutumia usafiri wa baskeli, kwa ajili ya kukutana na mwanamuziki huyo.

Davido baada ya kuona tukio hilo ame-tweet na kumtaka kijana huyo kurudi alipotoka kwa sababu hayupo nyumbani.

Tweet hiyo ikieleza kuwa
“Turn around I’m note home”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags