Samuel Eto’o kuchunguzwa

Samuel Eto’o kuchunguzwa

Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limetaka mchezaji wa zamani na Rais wa shirikisho la soka nchini Cameroon, (FECAFOOT) Samuel Eto’o, kuchunguzwa kufuatia na malalamiko kutoka kwa wadau wa ‘soka’ nchini humo.

Malalamiko hayo ni kutokana na utendaji usiofaa wa mchezaji huyo

Lakini mpaka sasa haijafahamika wala kuwekwa wazi Uchunguzi utahusu masuala gani, wakati huohuo Eto’o ataendelea na shughuli zake kama kawaida kwa kuwa suala hilo bado liko katika madai na CAF haitatoa tamko hadi uchunguzi utakapokamilika.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags