Moo: Simba inahitaji ‘kipa’ mwingine

Moo: Simba inahitaji ‘kipa’ mwingine

Rais wa Heshima wa Simba, Mohammed Dewji ameandika kupitia akaunti yake ya Instagram akiwasifia magolikipa wa Simba Ali Salim na Aishi Manula ila akadokeza bado anahitajika mwingine.

Simba inadaiwa kuna golikipa mpya ambaye anaweza kutambulishwa akichukua nafasi ya Peter Banda ili kuongeza nguvu katika michuano ya kimataifa.

"Ali ni mzuri na Aishi ni namba moja nchini ila tukitaka kushindana kwenye Ligi ya Mabingwa, Simba inahitaji golikipa mzuri zaidi," ameandika Mo Dewji kwenye Instagram






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags