Wafanyakazi 4 wa kampuni ya JV SPEK LTD inayojenga mradi mkubwa wa bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania wamefikishwa mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Igunga Mk...
Mkuu wa ufalme wa kitamaduni wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Afrika Kusini, Misuzulu Kazwelithini alitoa tamko siku ya jana Jumatatu kuwa yupo salama na akakanusha uvumi k...
Papa Francis wa kanisa katoliki Duniani amelaani vikali vitendo vya kuchoma vitabu takatifu kwa waislam (Quran) baada ya mtu mmoja kuchoma kitabu hicho kwenye mji mkuu nchini ...
Mmoja wa watoto wa kiume wa marehemu kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi, Hannibal Gaddafi ameripotiwa kuhamishwa kutoka jela ya Lebanon, ambako amekuwa kwenye mgomo wa kula, na...
Klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia imetangaza rasmi kuwa Kampuni ya Nike ndio wadhamini wao wa Jezi kwa Msimu unaotarajia kuanza wa 2023/24.Kampuni ya Nike itabuni vifaa vya Mi...
Meya wa mji mdogo wa Mexico aliefahamika kwa jina la Victor Hugo Sosa, amefunga ndoa na mamba katika tambiko la miaka mingi la mavuno ambapo mchumba wake huyo alitambulika kwa...
Wiki iliyopita kulikuwa na taarifa kuwa msanii kutoka nchini Kenya Otile Brown anategemea kuwa baba kwa mara ya kwanza, ambapo aliweka wazi kupitia Instastori yake.
Basi bwana...
Mwandishi maarufu wa Ukraine, Victoria Amelina amefariki dunia leo Jumatatu kutokana na majeraha aliyopata kufuatia shambulio la kombora lililotokea Jumanne alipokuwa akipata ...
Mahakama ya rufaa nchini Iran imemhukumu kifungo cha miaka mitano mwanaharakati maarufu na mwandishi wa habari Golrokh Iraee ambaye amekuwa akizuiliwa tangu kukamatwa kwake mw...
Aloweee!! Leo ni weekend nyingine kabisa tukimalizi malizia mwezi, I hope uko sawa mtu wangu wa nguvu, kama unavyojua kazi ndio jambo la muhImu sana katika maisha ya sasa hivy...
Na Elizabeth Malaba
Saratani ya koo ni miongoni mwa magonjwa hatarishi na unaoshika kasi kuathiri watu na hata kusababisha kifo. Ingawa baadhi ya wagonjwa wa saratani ya koo w...
Hellow!! It’s another weekend nawasalimu kwa jina la burudani na burudani iendelee kama ilivyo kawaida yetu kukujuza wewe mwanetu mambo mbalimbali yanayo happen katika m...
Na Magreth Bavuma
Wanangu woyo woyo woyo, niaaaje hopefully mko swafi kabisa karibu tena kwenye corner yetu pendwa a.k.a dunia ya wanavyuo “unicorner” sehemu moja ...
Hellow! Vipenzi vyangu kama kawaida yetu ni mwendo wa biashara tuu, vipi kwanza edi iliendaje pande hizo, basi mkala nyama zenu bila kunialika, ila hakuna shida tuendelee na k...