01
Viatu vitakavyo ongeza muonekano katika mavazi yako
It’s furaidayyy!! I hope uko poa mwanangu sana kama kawaida sisi nia na dhumuni letu kukupasha yale yote unayoyasikia na unayo yajua kwa uchache katika uwanja wa fashion...
30
Kambi za wakimbizi zaathirika na utapiamlo
Shirika moja la kutetea haki za binadamu limeelezea wasiwasi wake kutokana na kuongezeka kwa utapiamlo kwenye kambi za wakimbizi kasakazini mwa nchi ya Kenya. Moja ya chombo c...
30
Mendy: Nishafanya ngono na wanawake 10,000
Mwanasoka kutoka klabu ya Manchester City, Benjamin Mendy mwenye umri wa miaka 28 anatuhumiwa kwa kosa la kumbaka msichana mmoja mwenye umri wa miaka 28 na kumwambia msichana ...
30
Raia waandamana kutaka afisa polisi akamatwe
Maelfu ya watu nchini Ufaransa wameandamana kwenye kitongoji cha kifahari cha Paris Nanterre siku mbili baada ya Afisa wa Polisi kumpiga risasi Nahel M, kijana mwenye umri wa ...
30
Mtayarishaji wa Sqyid game halipwi bonasi na Netflix
Inasemekana kuwa Mtaarishaji wa Tamthlia iliojibebea umaarufu duniani kote ya Sqyid Game, Hwang Dong-hyuk ambayo ipo Netflix hapokei Mirabaha yake licha ya Filamu hiyo ku...
30
Campbell: Haujachelewa kuwa mama
Mwanamitindo nchini Uingereza Naomi Campbell amepata mtoto wa pili akiwa na umri wa miaka 53, mrembo huyo ametoa taarifa kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika kuwa. &...
30
Microsoft, Open AI zafunguliwa kesi ya wizi wa data
Open AI na Microsoft zimeshtakiwa kwa makosa 15 ya kiwemo kutumia taarifa binafsi zinazoweza kumtambulisha mtu binafsi kwa mamilioni ya watumiaji wa Intaneti wakiwemo watoto b...
30
Mtoto ajiua kisa hajapata nguo za sikukuu
Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 13, Zamada Jafari, Mwanafunzi wa darasa la nne katika Kijiji cha Ikengwa Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma amefariki dunia baada ya kujinyonga...
30
Madonna atoka ICU
Mwanamuziki na Muigizaji maarufu Marekani, Madonna mwenye umri wa miaka 64 ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya kuwepo kwenye kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU) kwa siku kad...
30
Miaka 3 jela kwa kupokea rushwa
Manaume mmoja aliefahamika kwa jila la Magesa Ngereja amekutwa na hatia ya kupokea hongo kwa lengo la kuuza ardhi ya kijiji cha Kahangaza, kitongoji cha Kanyamlima mkoani Kage...
30
Drake apewa ufunguo wa heshima
Mwanamuziki kutoka nchini Canada Drake amepewa ufunguo wa heshima huko Memphis katika Kaunti ya Shelby mahali apozaliwa Baba. Mkali huyo mara kadhaa amekuwa akitaja 901 katika...
28
Mama achoma moto nyumba baada ya mume kuoa mke mwengine
Baada ya kugundua mumewe ameongeza mke wa 2 mwanamke mmoja nchini Kenya katika eneo la Kajiado amechoma moto nyumba yake akiwemo ndani, na kusababisha vifo vya watoto wake waw...
28
Wafungwa 100 waachiwa huru, Sudan
Kundi la wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) la nchini Sudan limetangaza kuwaachia huru wafungwa 100 wa vita ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Eid el Haji. Kund...
28
Alikataa kuzaa kisa sikuwa na pesa, Sarkodie
Rapa kutokea Ghana Micheal Owusu Addo maarufu kama Sarkodie amemjibu Muigizaji Yvanne Nelson kupitia Diss Track (nyimbo) aliyoipa jina la “Try Me” baada ya mrembo ...

Latest Post