Madee: Nina kila sababu ya kusema yanga bingwa msimu huu

Madee: Nina kila sababu ya kusema yanga bingwa msimu huu

Baada ya ‘klabu’ ya #Yanga kuchapwa mikwaju mitatu ya ‘penati’ na #Simba siku ya jana Tanga katika uwanja wa Mkwakwani, wakati wa kutafuta mshindi wa Ngao ya Jamii, ambayo imechukuliwa na ‘timu’ Simba, mwanamuziki Madee atoa neno kwa Yanga.

@madeeali aibuka na kuitabiria makubwa  Yanga katika michuano ya ‘klabu’ Bingwa Afrika ambayo msimu huu wanashiriki, utabiri wake umetokana na kiwango walicho anza kukionyesha timu hiyo msimu huu kupita mchezo huo wa Ngao ya Jamii.

Madee anadai  kuwa anaiona Yanga ya jana ni bora kuliko msimu uliopita, kupia twittet amedai ana kila sababu ya kusema Yanga bingwa this season.

Ikumbukwe kuwa Madee ni shabiki kindakindaki wa ‘klabu’ ya Yanga.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags