Drake atoa onyo mashabiki kurusha nguo za ndani mbele ya mwanaye

Drake atoa onyo mashabiki kurusha nguo za ndani mbele ya mwanaye

Kama ilivyo kawaida kwa msanii kutoka nchini Marekani, #Drake anapo simama jukwaani kutumbuiza lazima mashabiki wamtupie vitu kama nguo, lakini usiku wa kuamkia leo akiwa katika tamasha lake huko Jiji la Los Angeles  Rapper huyo aliwakataza mashabiki wake kutorusha nguo za ndani jukwaani kwani siku hiyo alikuwa na mtoto wake # Adonis.

Hiyo imekuwa ni tabia baadhi ya mashabiki wa kike kurusha nguo za ndani kwa wakati wasanii wa kiume wakiwa jukwaani.

Ikumbukwe kuwa week iliopita msanii huyo alirushiwa simu wakati tamasha likiendelea akiwa jukwaani   kwa bahati nzuri aliweza kuidaka simu hiyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags