Harmonize: Nikiwaonesha maisha mazuri haina maana kuwa nawatambia

Harmonize: Nikiwaonesha maisha mazuri haina maana kuwa nawatambia

Mwanamuziki Harmonize wakati akiwakumbusha mashabiki wake ujuo wa single again remix anayotarajia kutoa na @rugerofficial amedai kuwa akionesha maisha ya kifahari anayoishi hamaanishi kuwatambia watu badi anawa-inspire kwenye utafutaji.

Kupitia #Instalive video ambayo ameingia leo msanii huyo hakusita kuonesha mjengo anaoishi, na sehemu za kujivinjari zilizopo katika nyumba hiyo, huku akidai kuwa pamoja ya kuwa na sweaming pool ndani lakini hajaitumia kwa miezi sita.

Harmonize amewataka watu kutokata tamaa kwenye utafutaji kwani hata yeye hakutegemea kama atakuja kuishi maisha anayoishi sasa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags