Shabiki alivyo mrushia simu Drake jukwaani

Shabiki alivyo mrushia simu Drake jukwaani

Imekuwa tabia ya baadhi ya mashabiki kuwatupia vitu wasanii wakiwa jukwaani, bila kujali vitu hivyo vinaweza kuwaumiza au laa, lakini upande wa wasanii imekaa tofauti mara nyingi huwarushia mashabiki vitu vyao kama vile nguo na viatu ili wabaki navyo kama kumbukumbu.

Siku sio nyingi story ya shabiki kummwagia maji Cardi B ilichukua nafasi kwenye vichwa vingi vya habari, lakini pia WizKid amewahi kutupiwa nguo ya dani akiwa jukwaani.

Leo tujikumbushe hii ya Drake, ambayo shabiki alimrushia simu kwa ajili ya kupata picha ya kali huyo akiwa ameipiga kwa kutumia simu yake bila kujali kuwa simu hiyo inaweza kudondoka na kupotea ama kuvunjika.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags