Mark hatapigana tena na Elon

Mark hatapigana tena na Elon

Mmiliki wa Meta #MarkZuckerberg,  ametangaza kuwa hatapigana tena na mmiliki wa Twitter #ElonMusk  baada ya Elon kuonekana kutokuwa serious na  pambano hilo.

Mark amedai kuwa Elon ameshindwa kuthibitisha tarehe ya pambano licha ya Dana White ambaye ni CEO wa UFC, kulirasimisha pambano hilo.

Kutokana na hayo Mark amesema kuwa  siku Elon akiwa serious juu ya tarehe ya pambano na tukio lenyewe basi wataingia ulingoni.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags