Mrembo ashindwa kujizuia kumshangaa Drake

Mrembo ashindwa kujizuia kumshangaa Drake

Mwanamitandao , na mtangazaji wa The Really Good Podcast,  Bobbi Althoff ambaye siku za hivi karibuni alizidi kujulikana  baada ya kufanya mahojiano na  mwanamuziki Drake,  ameibua maswali mengi kwa watu baada ya kuonekna kumshangaa Drake kupita kiasi siku ya jana.

Wengi wameibua maswali baada ya video ya mrembo huyo kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha akiwa mwenye kushangaa na asiye na furaha wakati Drake aki-perform kwenye tamasha lake siku ya jana.

Comment za watu wengi zimekuwa zikijieleza kuwa huenda mrembo huyo alilazimishwa kwenda kwenye show hiyo, huku wengine wakidai kuwa Bobbi anampenda  Drake ndiyo maana amekuwa na hali hiyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags