Rais wa Gabon, Ali Bongo amedhamiria kugombea tena kiongozi huyo aliyeingia madarakani mwaka 2009 akichukua nafasi ya baba yake, Omar Bongo aliyetawala kwa zaidi ya miaka 40.
...
Rapa kutoka nchini Marekani Travis Scott ametangaza kuzindua albamu yake mpya alioipa jina la ‘Utopia’ kwenye show atakayoifanya Piramidi za Giza nchini Misri Ijum...
Hivi karibuni kumekuwa na msongamano wa wagonjwa katika vituo vya Afya hali inayo pelekea baadhi ya wagonjwa kukosa huduma kwa sababau ya semina za wauguzi.
Waziri wa Afya, Um...
Muigizaji wa kijapani Jackie Chan anakadiriwa kuwa na utajiri wa dola milioni 400, cha kusangaza ni kwamba hatamrithisha utajiri wake mwane Jaycee Chan kutokana na kuwa ...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeshauri jamii kupenda kufanya mazoezi, kupunguza kula vyakula vya sukari, wanga na kusisitiza kwa wanywaji wa bia, kunywa angalau t...
Kiongozi wa Azimio la Umoja nchini Kenya, Raila Odinga mapema leo Jumatatu, Julai 10, 2023 ametumia usafiri wa umma maarufu matatu nchini humo wakati akienda kazini. Kabla na...
Zaidi ya watu 8 wauwawa wakiwemo watoto watatu kwa mabomu yaliyokuwa ndani ya gari katika matukio mawili tofauti kaskazini mwa nchi ya Syria siku ya jumapili.
Shirika linalofu...
Msanii kutoka nchini Marekani Drake alishambuliwa jukwaani wakati akiperform wimbo wa ‘So Anxious’ kwa kurushiwa viatu, simu na nguo kutoka kwa mashabiki, katika u...
Waokoaji wa Uhispania wanaendelea na msako wa mashua hiyo karibu na Visiwa vya Canary ambapo inadaiwa haijulikani ilipo tangu ilipoanza safari zaidi ya Wiki moja iliyopita. ...
Eeeeeeeh! Mwamba huyu hapa, I hope mko good watu wangu wa nguvu, sasa leo bwana tuko na kitu najua sio kigeni sana ila kuna baadhi ya watu kinawasumbua kutengeneza au kupika.
...
Mamboz!!! Uhali gani mfanyakazi mwenzangu nikwambie tu tumekutana tena this weekend kwenye segement yetu ya kazi kama kawaida hapa lazima nikuelekeze mambo yote yanayo husiana...
Mambo niaje!! My beautifuly people nikukaribishe tena kama kawaida yetu kila weekend lazima tuwe na jambo jipya katika fashion, team Scoop tunakwambia fashion ni usafii mwanet...
Na Magreth Bavuma
Ouyaaaaaah wanangu eeeeh niaje niaje, kusanya kijiji chako wakaribishe kwenye kona yetu pendwa ya dunia ya wanavyuo “unicorner” eneo moja tu tuna...