Hey guyz mambo zenu, najua wengi wenu mtashangaa kwanini nimekuja na mada hii katika biashara, hivi mnajua mitaani humo nimekuta stori nyingi sana kuhusu watu kujua kupika kek...
Mko pouwa eeeh! Basi bwana watu siku hizi wamekuwa wakijisaulisha sana umri wao nikikimbushe tuu kama uko na 39 kwenda juu hii inakuhusu kabisa, leo katika afya tunaangazia ma...
Hello guys!! Acha nikusalimu kwa jina la fashion mtu wangu tunakutana tena another weekend ili tuweze kupashana mambo ya Fashion na tuna hakikisha haupitwi na kitu ngojea tuon...
Na Magreth Bavuma
Ouyah!! wanangu wa moyoni eeeeh mambo ni gani, it’s another blessed week karibu nyumbani “unicorner” Tuone ni nini kona yetu imebeba, dua y...
Heyy! I hope mko poa wanangu sana sisi tunakwambia mwendo ni ule ule wa back to back kila weekend lazima tuwaelekeze nini kimejiri, katika segment yetu ya kazi.
Leo katika kaz...
Guys!! This is onather weekend mtu wangu wanguvu I hope uko poa na ulikuwa una subiria segement yetu ya burudani na michezo, sisi hatuna baya lazima tukuelekeze nini kimehappe...
Mshambuliaji kutoka #Argentina, #LionelMessi ameanza kubarizi kwa kujichanganya na raia wa Marekani, baada ya kuonekana akinunua bidhaa mbalimbali kwenye Supermarket jijini Mi...
Siku za hivi karibuni wasanii wengi #Bongo wamechachuka kwa kutoa nyimbo mpya na kushindana kushikilia trending kwenye mtandao wa #Youtube, ambapo jana msanii #AllyKiba ameach...
Imekuwa kawaida kuona wanamuziki wakitumia wapenzi wao kama video vixen au video king kwenye video zao, na kama maudhui ya wimbo ni kuhusu mama basi wengi hutumia mama w...
Kumekuwa na minon’gono ya hapa na pale kwa mashabiki wa ‘klabu’ ya #Yanga kuhusiana umarufu walioutengeneza misimu miwili iliopita na kuwa imara kwenye timu ...
Baada ya kuwa na tetesi za penzi jipya la mrembo Hamisa Mobetto, baada ya picha zake kusambaa akiwa na mwanaume ambaye anaonekana upade wa mgongo na kupelekea wengi kutaka kuf...
Mchekeshaji kutoka nchini Kenya Eric Omondi, ameendelea kuwafurahisha watu kwa aina ya ubunifu wa mavazi anayotumia kuingilia kwenye nchi mbalimbali, awamu hii Eric yupo...
Upepo wa mwaka 2022 na 2023 umeonekana kuwa na baraka kwa baadhi ya wanawake maarufu Tanzania, kutokana na wengi wao kupata watoto kwa mara ya kwanza, huku baadhi yao wa...