Justin Bieber apambana kuachana na Management yake

Justin Bieber apambana kuachana na Management yake

Msanii kutoka Marekani, Justin Bieber ameamua kuajiri mwanasheria mpya wa kumsaidia kuvunja mkataba na Management ya SB Projects inayomilikiwa na Scooter Braun.

Kwa mujibu wa mtandao wa Billboard imeripoti kuwa mkataba huo baina ya msanii huyo na management yake umebakiza miaka 4 kumalizika hivyo basi Justin anahitaji kuuvunja kabla ya kumaliza miaka hiyo iliyobaki.

Ikumbukwe pia hivi karibuni ‘Meneja’ Scooter Braun amekimbiwa na baadhi ya wasanii aliyokuwa akiwasimamia  akiwemo Demi Lovato na Ariana Grande.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags