07
Ariana Grande aumizwa na wanaokosoa mwonekano wake
Mwanamuziki na mwigizaji wa Marekani Ariana Grande amefunguka jinsi anavyoumizwa na baadhi ya mashabiki wanaojadili mwonekano wake.Wakati akiwa kwenye moja ya mahojiano na mwi...
27
Universal Pictures yatoa ufafanuzi sakata la Ariana Na Cynthia
Kampuni ya uzalishaji na usambazaji wa filamu nchini Marekani ‘Universal Pictures’ imetoa tamko kuhusiana na minong’ono ya mashabiki kupitia mitandao ya kija...
15
Ariana Grande na Beyonce wanavyokiwasha katika filamu za muziki
Na Asma HamisLicha ya kukimbiza kwenye muziki wasanii kutoka Marekani Ariana Grande na Beyoncé Sasa wanatajwa kuonesha uwezo wao kwenye filamu za muziki.Kwa mujibu wa t...
13
Taylor Swift, Post Malone wafunika tuzo za MTV VMAS 2024
Katika Tuzo za MTV VMAs 2024 zilizotolewa jana Septemba 12 wanamuziki Taylor Swift na Post Malone waliibuka kidedea kwa kuondoka na tuzo nyingi zaidi huku‘kolabo’ ...
20
Ariana Grande na Gomez wamalizana
Baada ya kutengana mwaka mmoja uliopita huku kesi yao ikirindima miezi sita mahakamani, hatimaye mwanamuziki Ariana Grande na aliyekuwa mumewe Daliton Gomez wamepeana talaka r...
07
Ariana kumlipa Dalton zaidi ya Tsh 3 bilioni
Baada ya ‘kesi’ kuunguruma mahakamani ya wanandoa Ariana Grande na Dalton Gomez kuhusiana na muafaka wa talaka yao hatimaye wamemalizana huku mrembo huyo akitakiwa...
25
Justin Bieber apambana kuachana na Management yake
Msanii kutoka Marekani, Justin Bieber ameamua kuajiri mwanasheria mpya wa kumsaidia kuvunja mkataba na Management ya SB Projects inayomilikiwa na Scooter Braun. Kwa mujibu wa ...
22
Ariana Grande atemana na Sb Projects
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Ariana Grande ameachana na management yake ya muda mrefu  ‘SB Projects’  inayomilikiwa na Scooter Braun, ambayo amekuw...
18
Ariana Grande na mumewe kupeana talaka
Mwanamuziki maarufu kutoka nchini marekani, #ArianaGrande na mumewe #DaltonGomez, wameripotiwa kutengana tangu Januari, na muda wowote kuanzia sasa watapeana talaka rasmi. Kwa...

Latest Post