Mwanamuziki maarufu kutoka nchini marekani, #ArianaGrande na mumewe #DaltonGomez, wameripotiwa kutengana tangu Januari, na muda wowote kuanzia sasa watapeana talaka rasmi.
Kwa...
Kaka wa nyota wa muziki nchini #Romyjons, ameendelea kuonesha upendo kwa dua zake dhidi ya #Diamond, kwa kumuombea maisha marefu.
Kwenye dua hizo #Romy ameomba Mungu kumbariki...
Nyota wa muziki wa Bongo Fleva, #DiamondPlatnumz amesema akiwa na msanii, #Jux na watu kadhaa wamenusurifa kifo baada ya ‘lifti’ waliyopanda kuzima huku chanzo kik...
Msanii wa muziki wa #HipHop nchini Roma Mkatoliki, ametupa jiwe gizani kwa baadhi ya wasanii wenye tabia ya kudai walikaa kimya kwa muda mrefu, mara baada ya kuona wamet...
Kuna nyakati kiwanda cha muziki wa burudani kinapoa hasa msanii DiamondaPlatnumz, na #KingKiba wasipoachia kazi zao, vichwa hivi viwili kwenye ‘gemu’ ya #BongoFlev...
Aliyewahi kuwa miss Tanzania 2005 #NancySumari, ameweka wazi kumaliza masomo yake nchini London.
Nancy amehitimu masters ya Education Economics and International Development, ...
Muimbaji wakundi la #Mafikizolo kutoka nchini Afrika kusini #NhlanhlaMafu amefunguka sababu ya kutosikia kwa muda mrefu kumetokana na kuwa kwenye muziki kwa zadi ya miaka 26, ...
Wakati baadhi ya wanawake wakitumia mbinu mbalimbali ili kupendezesha midomo yao, huku wapo wale wa kupaka vitu kama vile lips ticks na kufanya upasuaji wa midomo.
Wafahamu wa...
Video vixen #Nai amewataka wanawake wanaojiongezea ‘shepu’ na kubadirisha muonekano wao, wajikubali na jinsi walivyo umbwa.
Kupitia mahujiano yake na moja ya chomb...
Kwa #Bongo ukizungumzia penzi la watu maarufu ambalo limedumu hadi kuingia kwenye ndoa huwezi acha kumzingumzia #Nandy na #Billnass.
Wanandoa hao unaweza kuwaita ndege wawili ...
Baada ya mkali wa sauti #Alikiba kutoa ngoma ya Amapiano inayoenda kwa jina ka #Sumu aliyo mshirikisha #Marioo, Chawa wa Taifa Baba Levo, ameonekana kuvutiwa na ngoma hiyo na ...
Msanii wa kizazi kipya #ChinoKidd wakumuita Chino Wana Man ameweka wazi hisia zake kwa kujivunia kwa kile anacho kifanya kwenda mbali zaidi tofauti na alivyo fikiria hapo awal...
Muingizaji wa #BongoMovie Elizabeth Michael (Lulu), kama ilivyo kawaida yake kutovumilia maneno ya mashabiki kwenye mitandao ya kijamii, kwa mara nyingine tena #Lulu ama...
Mfanyabiashara na aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa ‘Klabu’ ya Soka Tanzania, Simba Sport Club, Barbara Gonzalez, ameendelea kuacha maswali kwa mashabiki wa soka nc...