Billnass: Sijaacha hip-hop kwa sasa nipo na amapiano

Billnass: Sijaacha hip-hop kwa sasa nipo na amapiano

Wakati wa uzinduzi wa video ya wimbo wa 'Maokoto' wa msanii Billnass, ameeleza kuwa hajaacha muziki wa hip-hop kuna mambo mengi mapya yanakuja amewataka mashabiki wake kukaa tayari kupokea wimbo mwingine mpya.

Hata hivyo msanii huyo wakati akijibu waandishi wa habari juu ya kauli ya msanii kutoka Kenya Khaligraph, akadai kuwa ni kweli kwa sasa wameamia katika amapiano kwani hata ‘maokoto’ ni Amapiano, kwa hiyo kwa sasa atauzungimzia muziki wa amapiano kwanza






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags