Shamsa: Wanaume nao ni binadamu

Shamsa: Wanaume nao ni binadamu

Baada ya muigizaji #ShamsaFord kufunga ndoa hivi karibuni na Husseni Mlilo, amewajibu baadhi ya watu wanaodai kuwa ameolewa na mume wa mtu.

Shamsa ameeleza kuwa mwanaume haibiwi anakaa anapotaka, na akiamua kuondoka kwa mwanamke, hajali amemuacha katika kipindi gani, kwani wanaume nao ni binadamu wana hisia na maumivu.

Licha ya hayo amesema kuwa watoto wa mume wake atawalea kwa upendo mkubwa maana ni kama matoto wake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags