Mo Salah kutimua vumbi al-lttihad

Mo Salah kutimua vumbi al-lttihad

'Klabu' ya Al-lttihad ya Saudi Arabia inadaiwa kuwa inauhakika waa kupata ‘saini’ ya nyota wa 'klabu' ya Liverpool, Mohamed Salah kabla ya dirisha lao kufungwa.

'Timu' hiyo ipo tayari kumpa ‘winga’ huyo ‘ofa’ ya mshahara mkubwa ikidaiwa yaweza ikapita hata pesa nayopewa mchezaji Cristiano Ronaldo katika 'timu' yake.

Ikiwa Mo Salah atatua nchini humo na kwenda kwenye 'klabu' hiyo basi atavuna pesa nyingi kuzidi star yeyote na kuichezea 'timu' hiyo yenye shauku naye mchezaji huyo mwenye umri wa mika 31.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags