Gigy: Masha Love ni chawa, niliwahi kuwa mpenzi wa Alikiba

Gigy: Masha Love ni chawa, niliwahi kuwa mpenzi wa Alikiba

Mwanamuziki wa kizazi kipya #GigyMoney akiwa katika interview na waandishi wa habari amedai kuwa #MashaLove sio rafiki yake yeye anachofahamu Masha ni chawa tu, Gigy amedai hayo baada ya Masha kuingilia ugomvi wake na msanii mwingine.

Hata hivyo Gigy hakusita kuweka wazi kuhusiana na uhusiano wake na Diamond kutokana na kuwepo kwa shutuma za yeye kutoka kimapenzi na msanii #Diamond, amesema hakuwahi kuwa na mahusiano na msanii huyo bali aliyewahi kuwa mpenzi wake ni msanii #AliKiba






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags