Mwananchi kesho hakikisha unachomekea

Mwananchi kesho hakikisha unachomekea

Ikiwa ni kuelekea mchezo wa marudiano ‘Ligi’ ya Mabingwa Afrika,  #Yanga kukipiga dhidi ya ‘klabu’ ya #AsasDjibout na kuamua kuipa jina siku hiyo la mchezaji wao mpya kwenye msimu huu #MaxiNzengeli.

Wamefanya hivyo kutokana na style ya mchezaji huyo anapoingia uwanjani kucheza huchomekea jezi yake mpaka zitakapotimia dakika 90.

Shabiki wa Yanga kesho mnapoenda Azam Complex hakikisha umechomeka, kesho ni Maxi Day.

.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags