Hatimae aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushayna ametemwa ubalozi wa kutangaza nywele na Kampuni ya Uuzaji Nywele Bandia (Wigs), ikumbukwe kuwa Rushayna alipata ubalozi huo, mar...
Kama ilivyo kawaida kuona sura mpya kwenye Tasnia ya Ugizaji, this time imeonekana sura ya aliyekuwa mke wa Doctor Mwaka #QueenOscar, imekuwa kama surprise kwa mwanadada huyo ...
Duniani kuna mengi ya kustaajabu na kufurahisha, ukizungumzia vitu asilia basi suala kama hili huwezi kuacha kuligusia kuhusiana na viumbe wenye ulemavu wa ngozi.
Ukiangalia b...
Wakiwa katika kufurahia kumbukizi ya siku ya kuzaliwa mtoto wao #Richmitindo amempa pongezi mke wake #JacklineWolper, kwa kuwa mama bora na mke bora kwake siku zote ambazo wap...
Chama cha wanamuziki Misri siku ya jana kilipiga marufuku tamasha la mwanamuziki kutoka Marekani Travis Scott lililopangwa kufanyika Julai 28 kwenye piramidi za Giza.
Kwa muji...
Mwanadada #JacklineWolper baada ya kuficha kwa muda mrefu sura ya mtoto wake, hatimae ameshindwa kuvumilia na kuionyesha sura ya mtoto huyo, kwa ku-post picha kwenye uku...
Harmonize emejibu mashambulizi ya wengi wanaojiuliza kuhusu ukimya wake, kwa kupost kionjo cha wimbo mpya aliyomshirikisha msanii kutoka nchini Marekani NickMinaj.
Mkali huyo ...
Baada ya kuwa na ‘skendo’ za kimapenzi kati ya mwanadada Niffer na AliKiba, wawili hao bado wameendelea kuwaacha watu katika maswali yasiyo na majibu, baada ya mre...
Imekuwa jambo la kawaida kwa watu maarufu nchini kuficha sura za watoto wao , miongoni mwa ma-‘staa’ waliofanya hivyo ni Nandy, hakuna anayefahamu sura ya mt...
Baada ya kuwepo na ushindani katika muziki wa bongo fleva kumekuwa na maoni ya watu wengi kuwa ushindani huo uhamie katika #HipHop na mashabiki watoe ushirikiano kama wanavyos...
Mkurugenzi wa Twanga pepeta, Asha Baraka amevunja ukimya kwa The Tanzanian Sweetheart, Wema Sepetu kuhusiana na suala la mrembo huyo kuwa na mahusinao mapya kila siku.
Kupitia...
Baada ya ukimya wa mwaka mmoja tangu msanii wa #Hiphop #youngdaresalama kuachia wimbo wake binafsi, ulioenda kwa jina la usiyempenda kaja, sasa msanii huyo amerudi kwenye game...
Msanii wa muziki wa #BongoFleva @malkiakaren, ameonesha shukurani zake kwa akina mama wote wanaosali kwaajili ya familia zao.Malkia ambaye pia kwa sasa ni mama wa mtoto mmoja,...