Young Dee na Dj AllyBi kwenye ngoma moja

Young Dee na Dj AllyBi kwenye ngoma moja

Baada ya ukimya wa mwaka mmoja tangu msanii wa #Hiphop #youngdaresalama kuachia wimbo wake binafsi, ulioenda kwa jina la usiyempenda kaja, sasa msanii huyo amerudi kwenye game tena.

Young Dee, ameacha wimbo wake mpya uitwao #Basupa akiwa amemshirikisha #djallybi, ambao humo ndani mistari ya kula bata, utajiri na uchawa haijakosa, kama ilivyo kwa sasa baadhi ya wasanii kuingizia mistari ya aina hiyo kwenye ngoma zao.

Hadi sasa wimbo huo una masaa 23 tangu utoke huku ukiwa na watazamaji 1.2k hadi sasa kwenye mtandao wa #YouTube.

Unamshauri nini #youngdaresalama kuhusiana na game ya sasa?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags