Ex wa Doctor Mwaka aangukia kwenye ugizaji

Ex wa Doctor Mwaka aangukia kwenye ugizaji

Kama ilivyo kawaida kuona sura mpya kwenye Tasnia ya Ugizaji, this time imeonekana sura ya aliyekuwa mke wa Doctor Mwaka #QueenOscar, imekuwa kama surprise kwa mwanadada huyo kuonekana upande huyo.

Queen ameonekana katika kionjo cha tamthilia inayotarajiwa kutoka hivi karibuni, kupitia moja ya chombo cha habari nchini kinachojihusisha na uoneshaji wa tamthilia.

Japo kuwa bado mashabiki hawajafahamu uhusika rasmi wa Queen katika tamthilia hiyo, lakini hawajaficha hisia zao za kusubiri kwa hamu kuona kazi na uwezo wa mwadada huyo katika uigizaji.

Dondosha comment yako unafikiria uhusika gani utamfaa zaidi Queen kwenye ugizaji?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags