Harmonize adai kufanya ‘kolabo’ na Nickminaj

Harmonize adai kufanya ‘kolabo’ na Nickminaj

Harmonize emejibu mashambulizi ya wengi wanaojiuliza kuhusu ukimya wake, kwa kupost kionjo cha wimbo mpya aliyomshirikisha msanii kutoka nchini Marekani NickMinaj.

Mkali huyo wa kimakonde, bila kutumia maneno mengi ameweka kwenye InstaStory yake, mazungumzo aliyowahi kufanya na NickMinaj na kuyasindikiza na neno asante malkia.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags