22
Binti mwenye nywele nyingi zaidi duniani
Dunia ina mengi ya kujifunza kila kukicha , kuna wakati matukio yanatokea kwa sababu jamii haina elimu ya kutosha kuhusiana na mambo fulani, ni vyema kwenye jamii kwanzia ngaz...
22
Foxx: Nilienda kuzimu na kurejea
Muigizaji kutoka nchini Marekani Jamie Foxx amezungumza kwa mara ya kwanza tangu afya yake ilivyo anza kudhorota mwezi Aprili na kupelekea mkali huyo kukimbizwa Hospitali.Kupi...
22
Spyro awaumbua wanaosema diamond kaiga wimbo wake
Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu wadau wa muziki kumshambulia Diamond kwa ku-copy nyimbo za wasanii wengine ikiwemo wimbo wa mkali kutoka Nigeria Spyro, sasa mkali huyo kamkin...
22
Zuchu: japo kuwa namchuna kang’ang’ania
Huwenda mwanamuziki @officialzuchu , anakaribia kutoa wimbo mpya, kutokana na kionjo cha maneno ambacho ame-share kama caption kwenye picha aliyo-post katika ukurasa wake wa #...
22
Messi aanza vizuri Inter Miami
Usiku wa kuamkia leo ‘klabu’ ya Inter Miami kutoka nchini Marekani ilikuwa na mchuano ya kucheza na ‘timu’ ya Cruz Azul kwenye mchezo wa Leagues Cup, m...
22
Diamond akimbiza kwenye mirabaha, Zuchu aongoza wanawake
Yale maokoto ambayo wengi walikuwa wakiyasubiri kwa muda mrefu ili kujua kiasi cha pesa ambacho wasanii watapata kutokana na kazi zao kupigwa kwenye vituo mbalimbali vya Redio...
22
Tracy aondoka na taji la Miss Tanzania 2023
Hatimaye kati ya warembo 20 waliokuwa wakishindania Taji la Miss Tanzania, mrembo Tracy Nabukera, ameibuka kidedea kwa kuondoka na taji hilo, ambalo alivalishwa na aliyekuwa M...
21
Rapcha aangaliwe kwa jicho la tatu
Kwenye muziki wa #HipHop kwa bongo wasanii ni wengi na kila mmoja huwa na aina ya uandishi wake kwenye upande wa mistari, wapo wale wazee wa ‘disi’, na wale wa ngu...
21
Mayele kuishuhudia siku ya wananchi
Mfungaji bora msimu uliopita katika ligi kuu Tanzania Fiston Mayele, ambae tetesi zinaeleza kuwa mchezaji huyo anasubiria tu ‘Thank you’ kutoka katika ‘klabu...
21
Mlinda mlango wa PSG na mkewe wavamiwa
Golikipa wa ‘klabu’ ya Paris Saint-Germain (PSG), Gianluigi Donnarumma na mkewe wamevamiwa na watu wasiojulikana katika nyumba yao iliopo Paris usiku wa kuamkia ja...
21
Abadili mwili wake ili afanane na viumbe wa ajabu
Kama ilivyo kawaida kwa baadhi ya binadamu kuwa na tabia ya kujaribu kila jambo, hata yale ambayo wengine wanadhani ni magumu kufanyika, leo hii mfahamu raia wa Ufaransa aliye...
21
Burna Boy na Ayra kwenye listi ya Obama
Kama ilivyo kawaida kwa baadhi ya watu mashuhuri ifikapo katikati au mwisho wa mwaka huachia ‘listi’ ya ngoma wapendazo kusikiliza, kama ilivyo utaratibu wa ya Rai...
21
Leo Waziri Pindi Chana kwenye Mirabaha
                   Ofisi ya Haki Miliki Tanzania inatarajia kutoa mgao wa mirabaha kwa wasanii nchini. Huku waziri wa Utamadu...
21
Drake akatiza mitaani na kinyago cha mbwa
Rapa kutoka nchini Marekani Drake, @champagnepapi ameonekana akikatiza katika mitaa ya hotel aliyokuwa amefikia wakatu akisubiri kufanya performance Barclays Center , huku uso...

Latest Post