Marioo atoa neno la shukurani baada ya video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Diamond, Jux na wasanii wengine wakicheza wimbo wa #Sumu ulioimbwa na Alikiba f...
Baada ya zile sintofahamu za mashabiki dhidi ya hatima ya Ferston Mayele kuwepo katika ‘klabu’ ya #Yanga hatimae zimefikia kikomo baada ya ‘klabu’ hiyo...
Baada ya nyota wa muziki #Diamondplatnumz, kutupa dongo upande wa pili mara tu wimbo mpya wa #Zuchu kufanya vizuri na kuingia trending number one kwenye mtandao wa #YouTube, v...
Bondia ambaye ni marachache sana kupoteza mchezo akiwa ulingoni, Twaha Kiduku amekili kupokea kichapo kutoka kwa mpinzani wake, Asemale Wellem kutoka Afrika Kusini katik...
Penzi la #Paula na #Marioo limeonekana kuendelea kunoga hadi kupelekea wawili hao kushindwa kuficha hisia zao.
Licha ya kuwa na maneno mengi kutoka kwa baadhi ya w...
Bondia Karim Mandonga amekalishwa tena kwa kupokea kichapo kutoka kwa bondia wa Uganda, Moses Golola.
Bondia Golola amemtoa Mandonga njee ya mchezo kwa technical knock o...
Mwanamitindo na muigizaji Jacline Wolper kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni na moja ya chombo cha habari amesema kuwa anamruhusu mume wake achepuke na watu wenye faida.Ka...
Mwanaume mmoja kutoka nchini Japan alioyefahamika kwa jina la Toco ametumia zaidi dola 20,000 ambazo ni zaidi ya sh 49 milioni za kitanzania ili kuwa na muonekano wa mbwa.Alif...
Mtangazaji Diva amewaacha hoi mashabiki baada ya kueleza kuwa yeye ndo mwanamke anayenukia vizuri Tanzania nzima.
Diva ametoa kauli hiyo mbele ya waandishi wa habari jij...
Baada ya msanii Nay wa Mitego kudai kuwa mistari ya wimbo wa amkeni ambao kwa sasa umefungiwa kuna baadhi ya mistari ametumiwa na #Roma, sasa roma amejibuka na kukanusha madai...
Baada ya kuzuka tetesi za msanii Nay wa Mitego kuitwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa ajili ya majadiliano kuhusiana na wimbo wake mpya wa ‘amkeni’....
Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA), imetoa katazo kwa wimbo wa msanii wa #Hiphop Nay wa Mitego, 'Amkeni' kupigwa kwenye Vyombo vya Habari na mitandao ya kijami.
Kupiti...
Mwanamuziki Aslay Isihaka amewatolea uvivu wanaodai kuwa sasa hivi hana jipya kwenye muziki kwani hajawahi kutoa ‘kolabo’ na wasanii kutoka nje ya nchi.
Aslay amew...
Nyota wa muziki kutoka Marekani Drake amewaacha watu kwenye maswali yasiyokuwa na majibu, baada ya ku-post kwenye #InstaStory yake picha ya pete inayofanana na iliyokuwa ikimi...