Mchezaji kutoa ‘klabu’ ya Manchester City, #João Cancelo kupita #InstaStory yake ame-share wimbo wa msanii #Marioo_tz #MiAmor.
Hii inadhihilisha kuwa ...
Aliyekuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga Hassan Bumbuli aamishia majeshi Bank ya NMB akiwa kama Relationship Manager- sports and game.
Bumbuli tayari amefanya mabadil...
Ikiwa zimepita siku chache baada ya mtandao wa Twitter kufanyiwa mabadiliko kwenye upande wa Logo yake kutokana na mmliki mpya wa mtandao huo Elon Musk kutaka kuanza upya kwa ...
Mchezaji wa ‘timu’ ya Deportivo Rio Canas kutoka nchini Costa Rica, Jesus Alberto Lopez maarufu kama Chucho (29) anadaiwa kufariki baada ya kumezwa na #Mamba mtoni...
Kama ilivyo kawaida ya msanii wa #HipHop #Wakazi kutofumbia macho japo likimfurahisha au likimkwaza, awamu hii aibuka kwa kummwagia sifa Harmonize kutokana na kufurahishwa na ...
Baada ya kuzuka tetesi za muda mrefu kuhusiana na mshambuliaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Senegal Sadio Mane, hatimaye usiku wa kuamikia leo ametambulishwa rasmi ...
“Unaweza ukapambana Kutafuta pesa Kwa miaka mingi ukamwaga jasho machozi na damu….Ukabahatika Kupata Hata 100M, ukasema Sasa Nianze kujijenga kimaisha, hapo hapo ...
Mwanamuziki @officialzuchu atoa pongezi kwa mzalishaji wa muziki anayefanya vizuri nchini @s2kizzy kwa kazi kubwa anayofanya .
Zuchu amesema kuwa ni vyema ampatie producer huy...
Baada ya wachezaji na baadhi ya viongozi kumtakia kheri mchezaji Fiston Mayele, hatimaye aliyekuwa msemaji wa ‘klabu’ ya #Yanga Haji Manara naye ametoa baraka zake...
Wakati wasanii wa #BongoFleva wakiendelea kukiwasha katika sekta yao huku watoto wa uswazi wazee wa singeli wakiendelea kupambana ili kuufikishe muziki wa singeli kimataifa.
M...
Ikiwa leo ni siku ya girlfriends duniani mwanamuziki anaetamba na kibao cha #Honey @officialzuchu ame-share picha zake mpya na ujumbe wa kuwatakia mashabiki wake heri ya siku ...
Kila mtu huwa na uraibu wake ambao kwa upande wake huona ni sawa lakini kwa watu wengine huutazama uraibu huo kama kitu cha ajabu, kuna wale wanaopenda kula, kucha, udongo na ...
Huku mvua ya kutoa nyimbo ikiendelea kwa msanii Harmonize ameweka wazi kuwa kuna baadhi ya platform zinapopatikana kazi zake hazijamlipa mauzo yake.
Kupitia #InstaStory yake a...