05
Mashabiki wakimbilia tiketi kuwaaga Sauti Soul
‘Tiketi’ za tamasha la SOL Fest ambalo linatarajiwa kufanyika November 4, Uhuru Gardens nchini Kenya zimeisha.Tamasha hilo ambalo maalumu na litakuwa la mwisho kuf...
05
Mkaliwenu atangaza vita kwa Mwakinyo, Kiduku na Mbabe
Mchekeshaji maarufu nchini Mkaliwenu ambaye kwa sasa ameangukia katika Tasnia ya Ngumi, usiku wa kuamkia leo amemchapa bondia Jitu la Kale kwa TKO.Pambano hilo ambalo sio la u...
05
Mavokali na Madee watia neno video ya Rayvanny
Baada ya mwanamuziki Rayvanny ku-post video yake ikionesha umati wa watu waliokusanyika #Albania kwa ajili ya kushuhudia performance yake, Mavokali na Madee watia neno kwenye ...
05
Tate afutiwa kifungo
Mwanamitindo na mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Marekani Emory Andrew Tate III ameshinda rufaa ya ‘kesi’ ya ubakaji, biashara ya binadamu na unyanyasaji wa ki...
05
Paula Kajala: Mapenzi matamu hadi kwenu
Kama ilivyo kawaida kwa Paula ambaye ni mtoto wa muigizaji maarufu nchini, kushinda kuzuia hisia zake akiwa kwenye mahusiano, ameendelea kuonesha upendo wake juu Marioo.Paula ...
05
Mpenja kukiwasha Simba day
Baada ya ukimya wa muda mrefu wa mtangazaji wa soka nchini Baraka Mpenja, hatimaye amerudi tena mjini anatarajiwa kukiwasha kesho kwenye Simba day .Mpenja kupitia Instagram ya...
04
The Rock amnunulia nyumba mpiganaji wa UFC
Muigizaji mashuhuri nchini Marekani Dwayne Johnson maarufu kama The Rock amemnunulia nyumba kama zawadi mpiganaji wa UFC, Themba Gorimbo jijini Miami baada ya kuguswa na stori...
04
Bill hulipwa pesa afichue siri za marehemu wakati wa mazishi
Dunia ina mengi sana na kila mtu hutafuta njia ya kujipatia kipato ili mkono uende kinywani, wakati wewe umekaa bila kazi na kusema hakuna ajira, wala hauna mtaji wa kufanya b...
04
Kanye na Mkewe wakatiza peku mtaani
Imekuwa kawaida kwa msanii kutoka nchini Marekani, Kanye West kukatiza mitaani akiwa katika muonekano ambao huwaacha wengi vinywa wazi, siku sio nyingi alionekana kukatiza kat...
04
Kesi ya Cardi B yafutwa
Baada ya purukushani nyingi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na kesi ya mwanamuziki Cardi B kumpiga shabiki na Microphone wakati akitumbuiza mjini Las Vegas wiki iliyopit...
04
Rayvanny: Mengi mazuri yanakuja
Mwanamuziki Rayvanny athibitisha ule msemo wa wahenga kuwa “kila unachojiwazia ndicho hutokea” kwa kudai kuwa kila alichokuwa akiota kitokee kwenye muziki wake ndi...
04
Simba wamkaribisha Rais Samia Simba day
Wakati wanajangwani wakitarajia kuachia Documentary yao, wanamsimbazi wao wanajiandaa kusherehekea kilele cha siku ya wanasimba inayotarajiwa kufanyika Agosti 6.Kupitia ukuras...
03
Zuchu ashangazwa na wasanii wanaonunua views
Kumekuwa na tetesi za kuwa kuna baadhi ya wasanii hutumia pesa ili waonekane wana watazamaji wengi kwenye mtandao wa #YouTube, kutokana na swala hilo kwa mara ya kwanza mwanam...
03
Mabondia wapata fursa kuweka kambi Cuba
Tanzania kupitia Wizara ya Utamaduni, Michezo na sanaa na Serikali ya Cuba wafanya makubaliano kushirikiana katika kuendeleza mchezo wa ngumi. Ikiwemo  mabondia wa Tanzan...

Latest Post