Siri ya Maxi uwanjani

Siri ya Maxi uwanjani

Inadaiwa kuwa mchezaji wa 'timu' ya#Yanga #MaxiNzingeli wanapokuwa kambini yeye ndio anakuwa wakwanza kuwahi mazoezini na wa kwanza kutoka mazoezini.

Sasa kwa mantiki hiyo inaonyesha hali ya nidhamu kwa mchezaji huyo  ipo vizuri na  si kitu cha kumshangaa anapotoka na matokeo mazuri akiwa uwanjani

Ikumbukwe mchezaji huyo tokea 'ligi' ianze hajawahi kuacha kutikisa nyavu  kwa 'mechi' mbili walizocheza ametoka na mabao mawili na kuwapa furaha mashabiki wa 'timu' hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags