Mwijaku: Mumkumbushe Zuchu kutumie pesa zake kuniangamiza

Mwijaku: Mumkumbushe Zuchu kutumie pesa zake kuniangamiza

Akizungumza na waandishi wa habari DC wa Instagram #Mwijaku amedai kuwa baada ya kukutana na Bi Khadija Kopa na kuyamaliza yaliyokuwa yanaendelea mitandaoni baada ya kumkosea heshima mama huyo.

Mwijaku amesema #Zuchu akumbushwe kuhusu kutumia pesa zake kumuangamiza, anasema anaona fahari na hataacha kusimamia maandiko ya dini kwa sababu ni faida kwake mbele za Mungu na sio duniani.

Maneno hayo jamekuja baada ya  Mwijaku kudai kuwa Zuchu alisema atatumia pesa zake zote bank kumuangamiza kutokana na kumvunji heshima mama yake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags