Je kuna ubaya wowote msanii kutumia jeneza kama ubunifu

Je kuna ubaya wowote msanii kutumia jeneza kama ubunifu

Kutokana na ubunifu wa mwanamuziki DiamondPlatnumz kupanda jukwaani na majeneza, kumezuka ubishani kwa wadau wa muziki huku wengine wakidai si sawa na wengine wakisifia ubunifu huo.

Na hii si Diamond tu kufanya ubunifu kwa kutumia jeneza tayari wapo baadhi ya wasanii waliwahi kufanya kitendo kama hicho.

Funguka kwenye comment je kuna ubaya wowote kwa msanii kutumia majeneza kama ubunifu?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags