Nicolas amalizana na Arsenal

Nicolas amalizana na Arsenal

‘Klabu’ ya Arsenal imethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na aliyekuwa mchezaji wao Nicolas Pepe ambaye walimsajili kwa dau la pauni milioni 72 kutoka nchini Ufaransa katika ‘timu’ ya Nice mnamo Agosti 2019.

Hata hivyo winga huyo mwenye umri wa miaka 28 raia wa Ivory Coast, taarifa zinadai kuwa amejiunga na ‘klabu’ ya Trabzonspor ya nchini Uturuki kwa uhamisho huru.
.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags