Asake atamani kufanya ‘Kolabo’ na Kanye West

Asake atamani kufanya ‘Kolabo’ na Kanye West

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Asake ameweka wazi kuwa kwa sasa anatamani na angependa kufanya ‘kolabo’ na msanii kutoka nchini Marekani Kanye West.

Asake kupitia mahojiano yake na Billboard News ameeleza kuwa ndoto yake kubwa ambayo anatamani kuitimiza ni kufanya ‘kolabo’ na ‘rapa’ huyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags